Kalamutz
Kalamutz
  • 628
  • 13 815 706

Відео

Mambo matano(5) ambayo hufanya jini akuingie - Sheikh Othman Michael
Переглядів 8 тис.14 днів тому
Mambo matano(5) ambayo hufanya jini akuingie - Sheikh Othman Michael
Sababu ya Kisayansi inayoifanya Quran kuwa ndio Kitabu Pekee kinachoweza hifadhiwa
Переглядів 4,4 тис.21 день тому
Maajabu ya Quran
Huyu ndio Mwanaume - Madam Shadya
Переглядів 2 тис.21 день тому
SAIKOLOJIA YA MWANAUME
Mambo Saba yanayosaidia sana kupunguza sana Maumivu Makali ya Hedhi - Dr.Baiya Kissiwa
Переглядів 56621 день тому
Mambo Saba yanayosaidia sana kupunguza sana Maumivu Makali ya Hedhi - Dr.Baiya Kissiwa
Kisa Cha Mfalme na Nyoka wawili
Переглядів 25 тис.21 день тому
Based on True Story (Malkia Balqis | The Queen of Sheba)
Ukipuuza haya usimlaumu mtu siku Dada wa Kazi akiwa mke mwenzako
Переглядів 6 тис.28 днів тому
Ukht Fatma Mdidi
Kisa cha Simba,Mume,mke na Mganga - Mzee Yusuph Makamba
Переглядів 3 тис.Місяць тому
Kisa cha Simba,Mume,mke na Mganga - Mzee Yusuph Makamba
Wenye Israel yao wameporwa Israel Yao,Hawa ndio wanaoiendesha Israel kwa sasa
Переглядів 19 тис.Місяць тому
Wenye Israel yao wameporwa Israel Yao,Hawa ndio wanaoiendesha Israel kwa sasa
Hii ni moja elimu nzito za sayansi ndani ya Quran iliyowafanya wengi wasilimu- Abdillah Kitota
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Hii ni moja elimu nzito za sayansi ndani ya Quran iliyowafanya wengi wasilimu- Abdillah Kitota
Kisa cha Mganga na Mtu asiye na Subira - Mzee Makamba
Переглядів 4,7 тис.Місяць тому
Kisa cha Mganga na Mtu asiye na Subira - Mzee Makamba
Sherehe zetu - Ukht Fatma Mdidi
Переглядів 4,9 тис.Місяць тому
Sherehe zetu - Ukht Fatma Mdidi
Simu inasingiziwa tu ,Tatizo liko hapa - Mzee Yusuph Makamba
Переглядів 1,8 тис.Місяць тому
Simu inasingiziwa tu ,Tatizo liko hapa - Mzee Yusuph Makamba
Kama huna haya matatu usiongeze mke wa pili utajitukanisha - Sheikh Othman Michael
Переглядів 3 тис.Місяць тому
Kama huna haya matatu usiongeze mke wa pili utajitukanisha - Sheikh Othman Michael
Maajabu ya Mtume Muhammad(s.a.w) katika Sayansi ya Mdomo
Переглядів 16 тис.Місяць тому
Maajabu ya Mtume Muhammad(s.a.w) katika Sayansi ya Mdomo
Njia nyingine rahisi ya kumjua Mtoto kama si wako tofauti na DNA - Dr Baiya
Переглядів 8 тис.Місяць тому
Njia nyingine rahisi ya kumjua Mtoto kama si wako tofauti na DNA - Dr Baiya
Mwisho wa Dunia utakuwa hivi | Maajabu ya Quran ndani ya Sayansi
Переглядів 19 тис.Місяць тому
Mwisho wa Dunia utakuwa hivi | Maajabu ya Quran ndani ya Sayansi
Hili ndio Tunda ambalo Allah anawaelekeza wanawake wote wajawazito walitumie - Dr Baiya
Переглядів 6 тис.Місяць тому
Hili ndio Tunda ambalo Allah anawaelekeza wanawake wote wajawazito walitumie - Dr Baiya
Kisa cha miujiza mikubwa ya Nabii Issa aloifanya utotoni i - Sheikh Othman Michael
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Kisa cha miujiza mikubwa ya Nabii Issa aloifanya utotoni i - Sheikh Othman Michael
Mate ya Mbwa Yalivyo Hatari Kwa Binadamu | Muujiza wake katika Quran na Sunnah - Abdillah Kitota
Переглядів 12 тис.Місяць тому
Mate ya Mbwa Yalivyo Hatari Kwa Binadamu | Muujiza wake katika Quran na Sunnah - Abdillah Kitota
Wengi huyapuuza ila ndio yanayoongoza vunja Ndoa nyingi - Madam Shadya
Переглядів 6 тис.Місяць тому
Wengi huyapuuza ila ndio yanayoongoza vunja Ndoa nyingi - Madam Shadya
Hiki ndicho kinachoifanya Jordan kuwa Chawa wa Israel na Kuusaliti Uislamu,Inasikitisha
Переглядів 9 тис.Місяць тому
Hiki ndicho kinachoifanya Jordan kuwa Chawa wa Israel na Kuusaliti Uislamu,Inasikitisha
Unaweza usimchape tena mwanao Baada ya kutazama video hii In sha Allah
Переглядів 12 тис.Місяць тому
Unaweza usimchape tena mwanao Baada ya kutazama video hii In sha Allah
Nafasi ya Kanisa Katoliki katika kuuvunja Uislamu - Sheikh Stambuli
Переглядів 10 тис.2 місяці тому
Nafasi ya Kanisa Katoliki katika kuuvunja Uislamu - Sheikh Stambuli
Maimamu wengi hulisahau hili - Sheikh Stambuli
Переглядів 5 тис.2 місяці тому
Maimamu wengi hulisahau hili - Sheikh Stambuli
Kama hukufanya haya jua hiyo ndoa yako ni Batili | Hakuna ndoa Bomani Ust.Aisha Edarus
Переглядів 1,7 тис.2 місяці тому
Kama hukufanya haya jua hiyo ndoa yako ni Batili | Hakuna ndoa Bomani Ust.Aisha Edarus
Kisa cha waumini waliozama Mtoni - Sheikh Walid Alhad
Переглядів 2,1 тис.2 місяці тому
Kisa cha waumini waliozama Mtoni - Sheikh Walid Alhad
Ujumbe mzito wa Mke wa Prof Musa Assad (kuhusu Kifo) kabla hajafariki
Переглядів 38 тис.2 місяці тому
Ujumbe mzito wa Mke wa Prof Musa Assad (kuhusu Kifo) kabla hajafariki
Simu usipokuwa nayo makini itakuletea majuto yatakayo dumu mpaka waingia Kaburini
Переглядів 6 тис.2 місяці тому
Simu usipokuwa nayo makini itakuletea majuto yatakayo dumu mpaka waingia Kaburini
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran
Переглядів 145 тис.2 місяці тому
Hiki ndicho kinachomfanya Marekani na Israel wamuogope Iran

КОМЕНТАРІ

  • @ZuberiMbaruku-vm9lg
    @ZuberiMbaruku-vm9lg 5 годин тому

    Mi nakukubali sana ila usibadilke tu ukawa km chizi sule

  • @user-eq5iz5hb3y
    @user-eq5iz5hb3y 8 годин тому

    Ili n janga la wanawake yaan inafikia mda mpk mtu unajiis lbd unakansa

  • @mejumaabaraza3989
    @mejumaabaraza3989 12 годин тому

    Masha Allah tabaraq Allah

  • @user-fs7eu1be6o
    @user-fs7eu1be6o 12 годин тому

    Jazzaka Allah khair

  • @user-qi2bt7mw4x
    @user-qi2bt7mw4x 15 годин тому

    Maashaallah ❤❤❤

  • @HakizimanaSalima-sg7cv
    @HakizimanaSalima-sg7cv 17 годин тому

    Jazzakallahu khayra Allah akuifadhi sheikh Ameen

  • @nismaali2982
    @nismaali2982 20 годин тому

    Maashallah Allah akujalie kher dunian na akher inshallah ❤❤❤🤲

  • @user-wu9dk1gy5x
    @user-wu9dk1gy5x День тому

    Inshaallah

  • @sumrajuma8967
    @sumrajuma8967 День тому

    Dr dawa ya kongosho

  • @HUSNANyosso
    @HUSNANyosso День тому

    Mashaalah kaka yetu kipenzi gabo mungu akuongezee elimu kubwa zaid

  • @stankapembe8246
    @stankapembe8246 День тому

    Assalam Alleykum Sheikh ni mkweli Allah akupe umri mrefu...

  • @AhmedNaswagi
    @AhmedNaswagi День тому

    Jina lamuti sheikh

  • @GhaniyeHaji-hv3je
    @GhaniyeHaji-hv3je День тому

    Mm nna mwaka wa 6 ss ndoa yng ina migogoro haijawahi kukutanishwa familia 2 mpk ss mkwe wng kanifukuza kwake na sina usaliti wala ushirikina wala cjalfny baba lililo kithir ni malumban ya kawaida t lkn haijawahi kusuluhushwa ss nipo kwet na mwanang mdogo na yy yupo kwao na mwanang wa kike mkubwa

  • @user-cq6hv7wl2q
    @user-cq6hv7wl2q 2 дні тому

    Walaykum ssalam warahmatullah wabarakatu ❤❤

  • @EricsonNoah
    @EricsonNoah 2 дні тому

    Dada ripistic nyingi mdomoni

  • @MwajumaAbuu-li8gf
    @MwajumaAbuu-li8gf 2 дні тому

    Mashallah

  • @user-wu9dk1gy5x
    @user-wu9dk1gy5x 2 дні тому

    Inshaallah

  • @kagetaabdallah3712
    @kagetaabdallah3712 2 дні тому

    Masha Allah mashaAllah masha Allah

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 2 дні тому

    In shaa Allah

  • @AbuuSumaiyah
    @AbuuSumaiyah 2 дні тому

    Allah akujalie kheri nyingi Ukhtiy Shad'yah

  • @LailatiIrakoze
    @LailatiIrakoze 2 дні тому

    Shukran ukhty kwa mafunzo mazuri Allah akuhifadhi

  • @VailethKaguo
    @VailethKaguo 3 дні тому

    Doctor unaweza ukawa umeshika mimba alafu ukaona Ute wa yai

  • @moneymavericks480
    @moneymavericks480 3 дні тому

    Napenda kujua nimept mzngko tarh 19 nikatok je sik y Hart n ipi wag nachngny nielekeze

  • @user-pf6kv2ox4b
    @user-pf6kv2ox4b 3 дні тому

    Mashaallah ❤❤❤

  • @Shakilahtolomet-ku9lq
    @Shakilahtolomet-ku9lq 3 дні тому

    Na aliyeniacha kwa miaka10 iyo pita pia inaweza mrutisha

  • @mossisilima452
    @mossisilima452 3 дні тому

    A.alaykm mm naomba kuuliz ivi je unapokog nifasi ni lazima kukusanya nguo ulizokua ukivaa wkt una nifasi uzitoharishe au inakuaj kuhus hilo maan nliskia ni lazima ukusany nguo zote uoge nazo ili kuzitoharisha km unavooga ww je ni sahihi hii?

  • @LydiaRweyemamu
    @LydiaRweyemamu 3 дні тому

    Dr.hizi naweza kutumia kwa mtt wa chin ya miaka 18?

  • @BilaliHassani
    @BilaliHassani 3 дні тому

    Mashaallah allah

  • @OmmaryJuma-w3m
    @OmmaryJuma-w3m 3 дні тому

    Mng atjalie mema sote na atfngulie kila la heri she wng

  • @user-qe2xe2yw3f
    @user-qe2xe2yw3f 3 дні тому

    maaashaanllah miss tanzanaaaa

  • @sheikhanasser4714
    @sheikhanasser4714 4 дні тому

    🤲🤲🤲

  • @hamisijuma6243
    @hamisijuma6243 4 дні тому

    huyu bwana ni mwalimu wangu

  • @FatumaMakungu-qq8qs
    @FatumaMakungu-qq8qs 4 дні тому

    Hata kipindi cha nabii Nihu watu wengi walimbishia. Hata ukweli huu anaousema Dr.Sule wabishi wapo tuwaache na ubishi wao

  • @GillaboyMambrui
    @GillaboyMambrui 4 дні тому

    mungu akupe maisha marefu ustadh

  • @SaidaMohamed-ty7jx
    @SaidaMohamed-ty7jx 4 дні тому

    Sheikh Othman mm natafta mchumbaa anaeipenda sana dini yetu yakiislam

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 4 дні тому

    Mashaallah tabaaraka rrahmaan, si kwa uzuri huo

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 4 дні тому

    Mwenyezi mungu mwingi wa rehema akupe Maisha marefu na baraka Tele

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad7887 4 дні тому

    Sawa kahamacsheni mathna mana jmb hili limkw gumu kwa wanawake wng na wake wadogo wanaoingia nao waambieni wawe watulivu wactake kujifanya wao ndo watawala

  • @Muhammadnabii1Muhammadnabii2

    Masha Allah ❤

  • @OntimeCaffe-pv2ww
    @OntimeCaffe-pv2ww 5 днів тому

    Mashallah

  • @MaridadiRashidilikwesoLikweso
    @MaridadiRashidilikwesoLikweso 5 днів тому

    asante Leo nimejua maana ya mjusi baba alikuwa ananihusia Sana had it hi ya mjusi

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 5 днів тому

    Mashallaah ❤

  • @SalimKombo-xo4pq
    @SalimKombo-xo4pq 5 днів тому

    Mashallaah M.mungu amzidishie umri mrefu na amzidishie neema kubwa

  • @Sayd-pi5lq
    @Sayd-pi5lq 5 днів тому

    mashaAllah brother nime kubali kaz Allah a2linde na shari za sheytwan InshaAllah

  • @mohamedshariff6370
    @mohamedshariff6370 5 днів тому

    Mash Allah mungu akulinde hapa dunia na kesho akhera lelah

  • @user-fq1gg8rj9i
    @user-fq1gg8rj9i 5 днів тому

    ❤❤❤❤❤

  • @user-pp5lz9qs9k
    @user-pp5lz9qs9k 5 днів тому

    MASHAALLAH ❤❤❤TABARAKALLAHU

  • @user-ci1lz8rw3v
    @user-ci1lz8rw3v 5 днів тому

    Hakika Allah mkubwa hakika uislamu nidini ya haki

  • @omarysaidmgalule656
    @omarysaidmgalule656 5 днів тому

    kwani Gabo ni muislamu au mkristo jina lake kamili ni nani!?

  • @LatifaJuma-jx6ix
    @LatifaJuma-jx6ix 5 днів тому

    Shukra madam